Namna ya kukabiliana na UTI kupitia tiba mbadala
UTI (urinary tract infection)ni ugonjwa unaotokea baada ya bakteria wanaojulikana kama Escherichia coli au E coli,vimelea hivi huvamia njia ya haja ndogo kisha kuzaliana katika kibofu cha mkojo,ugonjwa huu wa uti umekuwa ni pigo kubwa sana kwa jamii,wahanga wakubwa wa maradhi haya ni wanawake na watoto wadogo ingawaje hata wanaume huwakumba lakini si katika kiwango kikubwa kulinganisha na akinamama.ingawa kuna tiba mbalimbali ambazo wataalamu wa masuala ya afya wamezitoa,lakini shauku yangu kubwa ni kukujuza ndugu mfuatiliaji wa makala zangu juu ya tibambadala ya UTI ,tiba ambazo ni fanisi,salama kwa mustakbali wa afya yako lakini pia ni rahisi matumizi yake na gharama.
#### zifuatazo nibaadhi ya njia za kujitibu uti kwa kupitia tibambadala;
Kunywa maji ya kutosha,wataalamu wanashauri kunywa maji ya kutosha ili kukabiliana na tatizo hili,jitahidi angalau lita tatu kwa siku ,kiwango hiki ni kdogo zaidi ,kutokana na tafiti iliyofanywa na National Institute of diabetes and digestive and kidney diseases(NIDDk),inaonyesha kuwa maji ya kutosha yana mchango mkubwa katika kukabiliana na utI,kwani huboresha mfumo wa mkojo na kuondoa uwezekano wa vimelea kuzaliana.
###################################:############
2.tumia juisi ya limau ,juisi ya limau,au maji ya vuguvugu yaliyochanganywa na limau,aujitahidi kutumia limau kama kiungo katika chakula,kutengeneza juisi ya limau ,kamua maji ya limau kisha changanya na maji ya vuguvugu ,weka asali kijiko kikubwa pamoja na mdalasini wa unga
###########################:#####################
3.tumia kitunguu saumu,(garlic) ndani ya kitunguu saumu kuna viambata muhumu kama allicin ambacho hupigana na vimelea mbalimbali kama bakteria wa uti,hivyo unaweza kutumia kama tembe tatu za vituguu saumu na nivema kuchanganya na asali.
#################################################
4.tumia juisi ya zabibu nyeusi au zabibunyekundu .husaidia kwa kiwango kikubwa kukabiliana na vimelea vya utI,.
########################
################ 5.kula vitu vyenye vitamini C kwa wingi ,husaidia pia kupambana na vimelea vya uti,kunya juisi za matunda *****tanbihi******.ili kuepukana na maambukizi ya ugonjwa huu,kuwa na tabia ya kubadilisha nguo za ndani maramara (underwear). ****.kwenda haja mara kwa mara. ******.kujisafisha vizuri ,ni vema kujisafisha kuanzia mbele kuja nyuma.
################ 5.kula vitu vyenye vitamini C kwa wingi ,husaidia pia kupambana na vimelea vya uti,kunya juisi za matunda *****tanbihi******.ili kuepukana na maambukizi ya ugonjwa huu,kuwa na tabia ya kubadilisha nguo za ndani maramara (underwear). ****.kwenda haja mara kwa mara. ******.kujisafisha vizuri ,ni vema kujisafisha kuanzia mbele kuja nyuma.
Hakuna maoni