Mchango wa tangawizi katika ulimwengu wa tibaasilia
Tangawizi ni kiungo maarufu sana nchini, kwa lugha ya kiingereza hujulikana kama Ginger, kwa kiarabu huitwa zanjaabil, ni mmea wa zamani mno katika ulimwengu wa tiba,
Tangawizi hiweza kutumiwa katika chai kama mbadala wa majani ya chai, au Kwa kuitafuna yenyewe, au kutumia unga wa tangawizi kwa kuchanganya na viambata vyenginevyo.
Kwaajili ya kuongeza ufanisi zaidi unaweza ukachanganya na asali, au mdalasini wa unga, au mafuta ya mzaituni.
Zifuatazo ni faida za tangawizi ;
Husaidia Kwa wenye saratani
Husaidia kwa wenye pumu
Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo
Husaidia, kuondoa gesi tumboni
Husaidia kuondoa mafua
Hakuna maoni