• Breaking News

    Zijue faida za kunywa maji ya kutosha

    Bila shaka ndugu mfuatiliaji utakubaliana nami juu ya umuhimu wa kunywa maji ya kutosha kwa mustakabali wa maisha yetu. Asilimia75 ya miili yetu imeundwa kwayo. Pia ndani ya maji kuna madini tofauti. Kiwango kinachoshauriwa: Unashauriwa kufikisha angalau lita3 mpaka saba, au glasi sita mpaka nane. Kiwango hiki kitakufanya upate faida anuai zitokanazo na maji. Njia rahisi zitakazo kufanya unywe maji ya kutosha : 1.epuka kunywa maji ya baridi kupita kiasi 2.weka nafasi ya saa moja au nusu saa kabla au baada ya mlo. 3.kunywa maji ya uvuguvugu. Unaweza kudondoshea matone kadhaa ya ndimu au limau, ili kuondoa kichefuchefu. 4.pendelea kula vitu kama korosho, karanga. Muda mzuri wa kunywa ni asubuhi kabla ya chochote, saa baada au kabla ya mlo au wakati ujisikiapo kiu, Zifuatazo ni faida za kunywa maji ya kutosha : 1.husaidia kuondoa uwezekano wa kupata saratani, maji yanamchango mkubwa katika hilo kwa aslimia takribani 48 2.husaidia kuboresha mfumo wa taka mwili na kuifanya figo iongeze ufanisi. 3.husaidi ngozi kuwa nyororo na kutakatisha ngozi yako, huifanya ionekane katika Mng'ao wake harisi. 4.huasaidia kupunguza uzito kupita kiasi na kuondoa sumu mwilini. 5.kuondoa matatizo yamacho na msongo wa mawazo 6.kuimarisha afya ya ubongo na kuimarisha harufu nzuri katika kinywa . 7.kusaidia mfumo wa mmeng'enyo na kupata choo sawasawa 8.kusawazisha kiwango cha joto mwilini. 9.kuimarisha mfumo wa usafirishaji damu. 10.husaidia,kuimarisha kinga ya Milo. Brother Abdulmajiid kwa 03:00 Shiriki

    Maoni 1 :

    1. Slot Machine - Choegocasino
      Play Online Slot Machine Online with no registration Required! Try your luck in the free casino game Slot Machine Online 샌즈카지노 - 제왕카지노 Choegocasino! choegocasino

      JibuFuta

    Post Top Ad

    ad728

    Post Bottom Ad

    ad728